Hivi nguvu za kiume zinafaida gani?

Hivi nguvu za kiume zinafaida gani?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,501
Reaction score
83,733
Sasa hivi watu wamekuwa wakilalamikia nguvu za kiume hivi kweli mtu unaweza poteza hela zako kwakutafta vitu vyakukubust hili uongeze nguvu za kiume?

Mimi binafsi sioni umuhimu wa nguvu za kiume ..Mimi lengo nikupata Mtoto kama ninauwezo wakumpa binti mimba hapo inatosha kabisa.

Vyakula vya kisasa nivitamu sana aito tokea nikaacha kuvitumia ....kwani hata nikila vyakula vya Asili ..kama nikufa ntakufa tu.

Mimi kipaumbele changu cha kwanza ni Chakula wala sio Nguvu za kiume na Ngono.

Mke wangu kama anacheat acheat tu ila kweny kunipikia msosi...anabid anipikie msosi ...mzuri .
 
Hayajakufika ndo maana unaropika waache wenye matatizo yao wapambane kivyao
 
Aliwazalo mjinga ndilo litakalompata.
Hivi unadhani bila hizo nguvu unaweza kupata mtoto?
Sikuzote ukiwanacho huwezi kuona umuhimu wake hadi usiwe nacho. Ngoja ziishe ndio utaelewa
 
kuwa na nguvu zakiume nakumpa mimba mwanamke ni vitu viwili Tofauti.
 
Eti vyakula vya kisasa vitamu sana, pumbavu
 
Nguvu za kiune ni starehe yenyewe, zikipungua na thamani ya mwanaume inapungua. Kumbuka mwana - Ume, upo tayari kuitwa mwana bila ume?? Eee Muumba nijalie hizo nguvu mpaka mwisho wa maisha yangu
 
Mimi nimechunguza hili suali la nguvu za kiume, ikiwa utapata papuchi mbovu. Dakika 10 nyingi utakojoa, lakini ukipata papuchi haswaaa aiseee hata masaa 2 unagegeda tu. Hakuna dawa ya kuongeza nguvu ila niwe mkweli vyakula vya asili huongeza nguvu za mwili. Sio kama hivi vyakula vya kisasa mbwembwe nyingi mwisho unalainika kama pilau ya kimpiski.
 
Kwahiyo hizo dakika 10 umeona ndogo sana, si ndio, acha utani.., nyingi sana hizo
 
Sasa hivi watu wamekuwa wakilalamikia nguvu za kiume hivi kweli mtu unaweza poteza hela zako kwakutafta vitu vyakukubust hili uongeze nguvu za kiume?

Mimi binafsi sioni umuhimu wa nguvu za kiume ..Mimi lengo nikupata Mtoto kama ninauwezo wakumpa binti mimba hapo inatosha kabisa.

Vyakula vya kisasa nivitamu sana aito tokea nikaacha kuvitumia ....kwani hata nikila vyakula vya Asili ..kama nikufa ntakufa tu.

Mimi kipaumbele changu cha kwanza ni Chakula wala sio Nguvu za kiume na Ngono.

Mke wangu kama anacheat acheat tu ila kweny kunipikia msosi...anabid anipikie msosi ...mzuri .
Bia za sikukuu bhana....
 
Mfano tuseme husimamishi, unampaje hiyo mimba sasa..
Yaani ...hapa simaanishi Anisi ...mtu ambaye asimamishi sianaitwa Anisi...hapa point yangu namaanisha mtu mweny uwezo wakupiga goli moja ..inatosha kabisa.
 
Nguvu za kiume kazi yake ni kukuwezesha mwanaume ufanye kazi ya kiume tu,
 
Back
Top Bottom