Hivi ndugu zangu mnawezaje?

Kwa hizi sintofahamu zilizoko nchini nyie ndugu zangu mnawezaje kuongea Mambo ya kunyanduana na kuhusiana?

Me mwenzenu mood imekata kabisa.

Naachoooka Mimi mke wa Clemence Mwandambo
'Mood' imeumbwa kwa ajili ya faraja na kumuondolea stress mtu.

Mi nilivyoumbwa huwa nikiudhiwa, kudhalilishwa, kudhulumiwa, kutukanwa pamoja na mambo mengine ya kunitweza utu wangu, kurudia hali ya kawaida huwa ni mpaka nimpate mwanamke nimlale ndo'napona!

Wacha tu watu wanyanduane kupunguza stress zitikanazo na maovu wanayofanyiwa na 'gavoo' ya nchi hii.
 
Haha Sakasaka Mao bhn
 
Me hata genye zimekata kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…