Imekuwa ni kawaida sehemu nyingi
Zenyewe inafanyika biashara lazima uwakute wadada wazuri na wenye kupendeza. na wafanya biashara wanafahamu vyema kwamba biashara ya saizi ni wanawake.
Na kwa mwanamke ambaye anasula mbovu kama anatafuta kazi sehemu lazima atasumbuka sana kuipata labda iwe ni serikalini.
Kwanini sehemu nyingi za biashara wanaweka wadada wazuri na wenye mvuto?
Lengo ni kumpumbaza mwanaume ili uache kufikiria vizuri kile ambacho ulikua unafikiria na kuanza kumuwazia jinsi alivyo umbika nk ukisha fanya basi ww yule mwanamke anakuwa ameisha kuteka na lazima uanze kufuata maelekezo yake.
Na usingae kusikia mwanaume ameenda bar amenywea pombe sh. mil. 10
Sent using
Jamii Forums mobile app