hii video ya lini? ni ya Jul 31, 2017 au ni lini? hawa magumashi wa NEC nia yao inajulikana ambayo ni kumsaport mkoloni mtawala mweusi kubaki madarakani...siku wenye nchi wakiamua liwalo na liwe ndio watakumbuka kutubu, lakini itakuwa too late... itakuwa ni kipondo tu (Cha mbwa mwizi kama wavavyopenda kusema wenyewe au projection ya nini kitakachowatokea huko mbeleni) kwa kila kibaka aliyeshiriki wizi kwa namna moja au nyingine...