Kwani tatizo nini???, amewatoza chochote?????, ama kweli masikini hasaidiki!!!, wewe umepata, halafu unapiga kelele, je ungekosa, ingekuwaje????, Mahali pote ni hivyo, wanatakiwa watu wengi wa sensa, idadi ya waliopo haitoshi, unapewa posho, halafu unapiga yowe, acha uone.
"UMEOMBA KAZI UKAPATA KAZI, USIONE KAZI KUFANYA KAZI, UKIONA KAZI KUFANYA KAZI, ACHA KAZI UONE KAZI"