Kwani kuna tofauti kati ya MSABATO NA MKRISTO?labda uje ja hoja zilizo wazi msabato sio mkristo?Kwa hiyo nawasabato wako chini ya papa au wao sio wakristo?
Unahangaika sana...."Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia alichopata kuchosema Baron Deponnat kiongozi mashuhuri wa Ufaransa)
Anasema :-
"Roman katoliki lilizaliwa katika damu likawekewa_ukuta wa damu lilituliza_kiu_yake kwa damu na ni kwa herufi za damu historia yake imeandikwa. Utendaji wao unakwenda bila kuacha mapigo ya mirindimo_ya_viapo vya damu!"
Sasa_hapa_utasema_limejengewaje_kwa_damu?
Mamlaka ya Papa imekuwa ikitekeleza mateso dhidi ya wale wanaopinga madai yake, kama haki iliyopewa na Mungu.
Papa Martin V(1417-1431 B.K) alitoa maelekezo yafuatayo kwa mfalme wa Poland kuhusiana na Wakristo wa kweli waliokuwa wafuasi wa John Huss.
Hakikisha_unawaangamiza_wafuasi_wote_wa_Huss. Kumbuka kuwa watu wenye kukufuru wanathubutu kanuni za uhuru; wanadai
Wakristo_wote_ni_ndugu....wanadai kwamba Kristo alikuja duniani kukomesha utumwa; wanawaita watu wawe huru...
Choma_ua_kwa_wingi,fanya mahali pawe jangwa,kwani hakuna jambo linalokubalika zaidi kwa Mungu/linalofaa zaidi lenye manufaa zaidi ktk wajibu wa wafalme,kama vile kuwaangamiza wafuasi wa Huss."(L.M.de Cormentin, The Public and Private History of Popes of Rome, Vol. III, uk.116-117.
JE_WAMEISHIA_HAPO_TU
"Mapapa pamoja na mawakala wa Kijesuiti, hadi sasa wamekuwa ndiyo wainjiniaji_wa_vita, na wakati ulimwengu ukiugulia maumivu ya kweli,
Roma_hushikilia_shampeni."
Maneno taliyotamkwa na Jeremia J. Crowley (Padri wa zamani wa Kikatoliki).
Romanism: A Manace to the Nation, Menace Publishing uk 144.
Haitoshi
Naye Edmond Paris ameandika hivi:-
"Mtu aweza kusema kwa uhakika kwamba mnamo mwaka 1914 kanisa la Roma lilianzisha_mfumo_wa_vita_vibaya.ilikuwa kwamba, utambulisho wa damu ambayo wakati wote amechukua kwa wanadamu ikaanza kuumuka na kuwa tufani ya kutisha." The Vatican Against Europe, The Wickliffe Press uk 48.
Hivyo_ndivyo_Roma_imetenda_inaenendelea_na_itaendelea kakini atavuna_tu_alichopanda Ufu 9:1-2.
Uliza_kama_hujaelewa_kisha_tutasaidiana
What's app no 0655446552.
We karumekenge umekuja..??Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Msabato Sio Mkristo...Kwani kuna tofauti kati ya MSABATO NA MKRISTO?labda uje ja hoja zilizo wazi msabato sio mkristo?
Ukitembelea hata Wikipedia ukiandika world Christian....Hapo utapata list of all Christians denominationKwani kuna tofauti kati ya MSABATO NA MKRISTO?labda uje ja hoja zilizo wazi msabato sio mkristo?
Eti ile Biblia ambayo Ellen G White Estate inaanda imeshakamilika..? Hiyo biblia itaitwa the Clean Bible ambayo manuscript za Ellen Gould White zitaongezwaAnaitwa prof walter j veith angalia Youtube lecture zake amefanya research kuhusu maelezo yote na source zote za vatican upapa na ujesuit na NWO agendas freemasons jinsi wanavyoshirikia katika kuhakikisha Uwongo unaaminiwa na wengi...
Lecture iliitwa Battle of the bible wanavyotaka kuichakachua biblia kwa kuleta tafsiri za kipagani na kichawi kwa kuhariri biblia ya king james version.
Mmmh labda ina maana hz tofauti za kutokula kitimoto,kutokunywa pombe na soda ya coka,kutokusuka nywele,kutokuweka marasta,mawigi,kutovaa vimini,kutumia Agano la kale,kutokuabudu sanamu,kutokutumia mkorogo,kuabudu jmosi, n.k ndio vinamfanya msabato asiwe Mkristo,Mpagani,muislam,muhindu n.k yy yupo wapi sasa?kwa uelewa wangu mdogo najua msabato ni moja ya madhehebu ya kikristo,ni sawa na kuniambia mashahidi wa Yehova nao sio wakristoMsabato Sio Mkristo...
kweli kabisa Catholic ilikuwa inauwa, inachinja waasi kwa kipindi hiko... SO WHAT!!!???Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Thanx umenipa shuleUkitembelea hata Wikipedia ukiandika world Christian....Hapo utapata list of all Christians denomination
Ila wanaenda mbele wana-specify
"Other Groups that claims also to be Christian"
Hapo zinatajwa cult 4
1. Mormon
2. Seventh Day Adventist
3. Jehova Witness
4. Christian scientology
The Four Cult Religion groups(These groups are not Christians)Mmmh labda ina maana hz tofauti za kutokula kitimoto,kutokunywa pombe na soda ya coka,kutokusuka nywele,kutokuweka marasta,mawigi,kutovaa vimini,kutumia Agano la kale,kutokuabudu sanamu,kutokutumia mkorogo,kuabudu jmosi, n.k ndio vinamfanya msabato asiwe Mkristo,Mpagani,muislam,muhindu n.k yy yupo wapi sasa?kwa uelewa wangu mdogo najua msabato ni moja ya madhehebu ya kikristo,ni sawa na kuniambia mashahidi wa Yehova nao sio wakristo
Asante kwa ufafanuzi murua.Mwenye hekima amekuelewa.Anaitwa prof walter j veith angalia Youtube lecture zake amefanya research kuhusu maelezo yote na source zote za vatican upapa na ujesuit na NWO agendas freemasons jinsi wanavyoshirikia katika kuhakikisha Uwongo unaaminiwa na wengi...
Lecture iliitwa Battle of the bible wanavyotaka kuichakachua biblia kwa kuleta tafsiri za kipagani na kichawi kwa kuhariri biblia ya king james version.
Bora ujinga kuliko upu.mbavuNami nimemtahadharisha asijenitapikia ujinga wake.
Naona mmeanza kujfariji baada ya kuishiwa hojaThe Four Cult Religion groups(These groups are not Christians)
Jehova Witness
Seventh Day Adventist
Mormon
Christian Scientology
Mkuu, unamaanisha nini unaposema 'tunajifariji'..?N
Naona mmeanza kujfariji baada ya kuishiwa hoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Katika wafia dini wote wasabato ndo vi**yo wa kutupa.
Hawana kingine cha kuhubiri tofauti na Kanisa Catholic, vitabu vya Ufunuo na Daniel.
Kuna mwaka flani wakiwa kama 600 hivi waliandamana kwenda Airport ili waende ulaya bila ya kuwa na chochote kilichohitajika.
Hawa nao ni moja ya makundi ya vichaa kwenye jamii.
Unazijua lakini cult 4 za Kikristo..??Asante kwa ufafanuzi murua.Mwenye hekima amekuelewa.
Sikioni kitufe cha like 10 , umesomeka vizur mkuuDini ni ujinga,
Dini si Mungu, Mungu si Dini
Dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu
watu waelewe na wafahamu kuwa Dini ni kilimbilio la watu wajinga na wapumbavu, bali Mungu ni kimbilio na watu wenye Hekima, Busara na Maarifa
Heri ya mwaka mpya
Ukizijua the Four Cult hutopata shida...Nyie mnaotetea ukatoliki ndio mnaowekewa mdoli kanisan mnaambiwa ndio yesu mnaenda kumuangalia na kuweka sadaka! Jitambue Mungu hana dini