Mwenzake yupo USA kwa wakina NYANINGABU!huyo ndo kiboko wa mziki huu hakun ubishi nyc xn king
Kumbe ana mwenzake! Duniani kweli wawili wawiliMwenzake yupo USA kwa wakina NYANINGABU!
Kijana anajua sana Kenya naona wanazikubari sana kazi zake huwa nawashangaa wanaomfananisha kiba na yule kijana mwenye skendo za wanawake bila skendo kazi zake zinabuma
imeshazimwa kitambo na wasafi diamond sio mtu mzurHivi kijana yuko wapi sikuhizi? As in hata bodaboda hawapigi tena nyimbo zake... Yani Aje haijamaliza hata miezi miwili imechujaa????
imeshazimwa kitambo na wasafi diamond sio mtu mzur sasa hiv mtaan utasikia natafut kiki,imebaki stor,matatizo mambo ya aje hakunaHivi kijana yuko wapi sikuhizi? As in hata bodaboda hawapigi tena nyimbo zake... Yani Aje haijamaliza hata miezi miwili imechujaa????
Team Afande SeleKulikuwa na uzi hapa watu wanaponda kwamba jamaa hapati show, saizi amepiga show watakuja na maneno ohhh show ilikuwa mbaya, mara hajui kuvaa, mara hajui kucheza, madensa wake kawaokota, ukiendekeza maneno ya walimwengu unaweza amua kwenda kuishi porini na wanyama kuliko binadamu
Yaani hizo zote ulizoorodhesha hapo zilitoka ili kuzima wimbo mmoja hahahaaa ase kiba ni nomaa anatoa wimbo mmoja lkn unawajambisha nyimbo kumi na tayari zote zishachuja hahaaaa naishiaga kucheka mie .. Yeyote anayeshabikia mziki wa domo hajui mziki mzuri na melody muruaimeshazimwa kitambo na wasafi diamond sio mtu mzur sasa hiv mtaan utasikia natafut kiki,imebaki stor,matatizo mambo ya aje hakuna
Hao wanaitwa mashabk uchwaraKijana anajua sana Kenya naona wanazikubari sana kazi zake huwa nawashangaa wanaomfananisha kiba na yule kijana mwenye skendo za wanawake bila skendo kazi zake zinabuma