Hivi ndivyo King Kiba alivyowapagawisha mabinti wa Kenya

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,467
1,327
kibal.jpg

Bongo fleva singer, and hitmaker of "Aje" Ali Kiba has made what many his fans wish him to do, In his performance in Nairobi , Kenya he was among the performer who made $exy Kenyan ladies so crazy, Ali Kiba was invited to perform in the show called It's Big and well he performed. Congratulations Ali kiba for your Good performance.
Read: Beautiful new photo of Ciara in her wedding dress

kibal2.jpg




Source: [URL='http://www.bongonewstz.com/2016/07/ali-kiba-made-kenyan-ladies-so-crazy-as.html']Ali Kiba Made Kenyan Ladies so Crazy as he was Performing in Big Show in Kenya
[/URL]
 
Kulikuwa na uzi hapa watu wanaponda kwamba jamaa hapati show, saizi amepiga show watakuja na maneno ohhh show ilikuwa mbaya, mara hajui kuvaa, mara hajui kucheza, madensa wake kawaokota, ukiendekeza maneno ya walimwengu unaweza amua kwenda kuishi porini na wanyama kuliko binadamu
 
M nasemaga siku zote kiba n mwl wao na mkal wao.. Anajua ad anakasrsha sasa, keep it up ma bro kiba unatukuna mioyo na nymbo zako zlvo kal na zszochuja haraka km za hao wngn
 
Hivi kijana yuko wapi sikuhizi? As in hata bodaboda hawapigi tena nyimbo zake... Yani Aje haijamaliza hata miezi miwili imechujaa????
 
Kijana anajua sana Kenya naona wanazikubari sana kazi zake huwa nawashangaa wanaomfananisha kiba na yule kijana mwenye skendo za wanawake bila skendo kazi zake zinabuma


Mjomba unajiita Rastafari halafu huna peace moyoni. Marasta hawako hivyo kaka!
 
Kulikuwa na uzi hapa watu wanaponda kwamba jamaa hapati show, saizi amepiga show watakuja na maneno ohhh show ilikuwa mbaya, mara hajui kuvaa, mara hajui kucheza, madensa wake kawaokota, ukiendekeza maneno ya walimwengu unaweza amua kwenda kuishi porini na wanyama kuliko binadamu
Team Afande Sele
 
Hongera yake kiba,ila mnapokosea ni kumfananisha na DIAMOND PLATNUMZ wakati kila mtu ana maisha yake.


Lakini musisahau kulikuwa na wasanii kibao wana perfom hapo.


Wakati huyo munayemfananisha naye yeye alizifanya peke yake.
 
imeshazimwa kitambo na wasafi diamond sio mtu mzur sasa hiv mtaan utasikia natafut kiki,imebaki stor,matatizo mambo ya aje hakuna
Yaani hizo zote ulizoorodhesha hapo zilitoka ili kuzima wimbo mmoja hahahaaa ase kiba ni nomaa anatoa wimbo mmoja lkn unawajambisha nyimbo kumi na tayari zote zishachuja hahaaaa naishiaga kucheka mie .. Yeyote anayeshabikia mziki wa domo hajui mziki mzuri na melody murua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom