Maisha Bora bado ni kitendawili kwa wengi ya wapiga kura wa kutumainiwa huko mijini na vijijini. NI KATIKA NCHI AMBAYO WENGINE WANAZAIDI YA JOZI ISHIRINI YA VIATU!
Kutembelea kandambili sio ishu. I love my kandambilis na open shoes.Makes me feel free. Labda unambie uvaaji kandambili kwenda sambamba na ukubwa wa kipato.
Kutembelea kandambili sio ishu. I love my kandambilis na open shoes.Makes me feel free. Labda unambie uvaaji kandambili kwenda sambamba na ukubwa wa kipato.
Mwanamke anaamka kumi na moja alfajiri analala sita usiku. shida kibao, kuanzia maji mpaka mafuta ya kuwashia "koroboi" Pengine mwili haugusi maji kwa kuwa hayapatikani kirahisi....manukato au mafuta ya "shanti/rays" ni simulizi.
vumbi kuanzia chumbani mpaka msalanii! Hata kandambili hazifai zaidi ya kuzuia miguu dhidi vitu vyenye ncha kali na joto la ardhini.
Kandambili ni mwendo wa kisimani, msalani mpka kwenye sherehe!.