Hivi ndivyo binadamu anavyoishi na mizimu ya watu waliokufa bila kujua ona video on CCTV

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,659
2,822

watu wengi huwa tunabishana juu ya sala hili,huku wengine wakidai kuwa ni suala ambalo halipo,lakini ukweli ni huu hapo kama unavyoonekanika kupitia cctv

Duuu!! Real ghost
Ipo mingi sana. Sometime unaweza ukawa uko mahali may be jikoni mara unasikia kitu kimeanguka au glass imevunjika then unaanza timbwili na house girl kwamba haweki vitu vizuri kumbe vitu vimekaa vizuri kabisa ni haya mambo ya maghost
yeah,ni mizimu kweli,sa sijui ni mizimu mingapi tunaish nayo majumbani mwetu bila kujua
 
Ipo mingi sana. Sometime unaweza ukawa uko mahali may be jikoni mara unasikia kitu kimeanguka au glass imevunjika then unaanza timbwili na house girl kwamba haweki vitu vizuri kumbe vitu vimekaa vizuri kabisa ni haya mambo ya maghost

mfano jana wakati naenda uwani mida ya saa nane usiku,nilishutuka kuona mende wengi mno,then ghafla wakapotea mkoja akawa kama amenirukia katika kujiami nikashtuka vibaya mno hali iliyopeleke sehemu za mbavu kuuma sana
 
Kama ni imani, inahusu anayeamini. Mimi siamini hivyo hayanihusu.
ni rahisi kusema hivyo,lakini ukweli ni kwamba haya mambo yapo na yanatokeoa katika maisha yetu ya kila siku bila kujijua ,ukitaka kuamini hili na kujionea LIVE funga cctv nyumbani kwako kila kitu utakiona kweupeee
 
There is no such a thing exist called ghost. The reality what you are seeing in the clips is demonic spirit which changed itself to be seen like ghost . Once you died your soul can not come back in ghost form that is wrong perception from white people who unfortunately feed to us also.
demonic spirit can make you panic like the woman and young man on the clips which can cause you injuries or worse.
The middle clip I think is somehow fake
 
Duh hatari
 
Vile vifaa vinavyoibiwaga maofisini bila ofisi kuvunjwa ni mizimu ile... kama lile sakata le TRA....
 
Back
Top Bottom