Hivi ndivyo ardhi ilivyouzwa na inavyouzwa kwa wawekezaji huko Mpanda

Najivumilia sana kuwa Mtanzania ni kama vile lazima uwe chizi na taahira kuwa Kiongozi TZ,hata muokota makopo hawezi kusign contract kama hiyo
 
Hehehe haaaa...mazezeta tu kwani uongo?Sisi tunachojua ni kuhangaikia kutafuta hela ya matanuzzzzzzzzzz DAR LIVE!!! Watu utafikiri hawafi kwa bongo fleva na taarabu basssss.Hivi watanzania tungekuwa na ari ya kutafuta maisha kwa bidii mnafikiri tutakubali hali hii itokee subutuuuuuuuu.Kwanza viongozi wote wangewajibika ipasavyo kuilinda ardhi ya mtanzania lakini leo hii wapo tayari kumfukuza mtanzania na kumpa muekezaji.Nimeona jinsi gani wenzetu wa nje wanazipenda nchi zao kwanza wanafanya kazi sio mchezo.Starehe zinawakati wake na kazi kwa wakati wake.Nchi inafanya kazi usiku na mchana siku 7 mfululizo watu wanapishana.Wakiona chama hakifanyi vizuri uchaguzi unaofuata kinapigwa na chini sasa hapo mwanasiasa asiifanyie kazi nchi? we acha tu.Mimi naona wazazi inabidi wawe wanatoa elimu kwa watoto kuhusu ardhi yetu(brainwash) na maisha kwa ujumla kwani nimeona jinsi kwa wenzetu wanavowalea watoto licha ya kupewa elimu mashuleni hadi nyumbani watoto hupewa mafundisho mbalimbali kuhusu nchi yao.Wanajitolea wazazi na watoto ktk comunity zao kwenda kusafisha mitaani mwao ili kuwajengea watoto tabia ya kuijali nchi yao.
 
Back
Top Bottom