Hivi ndio vyakula vinavyoongeza hamu ya kujamiiana

tikiti ni noma

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Ahsante sana mkuu,chocolate mkuu nakula mpaka hua naogopa yani siwezi kula chakula bila kula chocolate napenda sanaa Hasa Patch na Godiva ninyime hata chakula ila nipe chocolate lol, hizo mbegu za maboga mie nakula zikitengenezwa Binjra nakua kama kasuku naangalia Tv huku nakula sasa sijui zinatakiwa zipikwe au? na Shayiri ebu please nifahamishe ndio ikoje? hivyo vyengine nakula..
Embu tupe mrejesho mkuu huo msimsisimko wake VP?
 
Ahsante sana mkuu,chocolate mkuu nakula mpaka hua naogopa yani siwezi kula chakula bila kula chocolate napenda sanaa Hasa Patch na Godiva ninyime hata chakula ila nipe chocolate lol, hizo mbegu za maboga mie nakula zikitengenezwa Binjra nakua kama kasuku naangalia Tv huku nakula sasa sijui zinatakiwa zipikwe au? na Shayiri ebu please nifahamishe ndio ikoje? hivyo vyengine nakula..
Shairi ni jamii yangano, mara nyingi inatumika kutengeneza beer.
 
Ni tikiti au tiketi

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Okiii, mie ngano natumia ile nzima tunasaga hua tunatumua kugeneza Soup,uji au Bokoboko sijui ndio hiyo..
Hapana sio hiyo. kwa lugha ya malkia wanaiita Barley
Barley11.jpg
 
Ahsante sana mkuu,chocolate mkuu nakula mpaka hua naogopa yani siwezi kula chakula bila kula chocolate napenda sanaa Hasa Patch na Godiva ninyime hata chakula ila nipe chocolate lol, hizo mbegu za maboga mie nakula zikitengenezwa Binjra nakua kama kasuku naangalia Tv huku nakula sasa sijui zinatakiwa zipikwe au? na Shayiri ebu please nifahamishe ndio ikoje? hivyo vyengine nakula..
Libido yako ikoje NIMPENDENANI? Kama unatumia kama mada inavyosema manake genye zipo za kutosha sio[emoji12] [emoji12] [emoji1]
 
Hapana sio hiyo. kwa lugha ya malkia wanaiita Barley
Barley11.jpg
basi ndizi khaswaaaaaaaaa hizi nzima tunapikia boko boko hua tuna changanya na nyama au na kuku, na mara nyengine nikipika soup natia hizo, na week endi hua napika uji wake ila hua nazi saga haziwi nzima hivyo...
 
Huwa mnapika na nani NIMPENDENANI na faida zake ni kama alivyosema [TAG]Real G[/TAG]?
 
Ngono inamaliza uwezo wa ubongo zenyu kufikiri.

Mtahangaika na mi asali, shayiri, tangawizi, chokoleti, sijui karanga, tikiti, parachichi! mkishtuka siku imeisha! Kesho pia mwendo mdundo.
Wanaume mnawabebea wanawake failure zao.
 
Huwa mnapika na nani NIMPENDENANI na faida zake ni kama alivyosema [TAG]Real G[/TAG]?
Napika mimi au kama kuna wageni anapika Bibi hilo bokoboko,ila soup,na uji hua napika mimi kwa ajili ya family
niwe mkweli sijaipeleka akili huko hua nasikia tuu na hivyo vyakula kwetu ni chakawaida kama vile tunavyokula ugali,mchuzi wa pweza,chaza sasa mtu akisema sijui zinaongeza raha au nguvu sioni naona sawa,au wanasema ukila karanga,pistachio,hazelnut,wallnut yani kwangu ni vitu nnavyopenda kula,ila Alhamdulillah sijawahi kulalamika kua sijisikii kufanya mapenzi au sina hamu,hua namsikia bibi akituona tunakula mixed nuts anasema haya ziongezeni tuu na waumezenu wamekwenda gym wakija wanakula hayo madude msizae kila mwaka kisa na kutwa mna bingirishana tuu lol..
 
Back
Top Bottom