KUTO...BWA tena!, hebu edit hapo DA!Kha mie mtu anayenuna simpendi sana kwa sababu anakuwa na kinyongo mno na huwezi kujua anawaza nini.
Jaribu kumchunia na wewe kutombwa acha kununa uone kama ataweza kununa mwezi mzima anakutega tu huyo na anajua utambembeleza.
Pole mwaya
KUTO...BWA tena!, hebu edit hapo DA!
KUTO...BWA tena!, hebu edit hapo DA!
Una matatizo wewe.... yaani umepaona hapo tu! Muone mimacho yake vile! lol
Ahahaaah!! Sio hapo tu, me kila sentensi naitazama kwa makini.Una matatizo wewe.... yaani umepaona hapo tu! Muone mimacho yake vile! lol
He he he heeeh!! Kumbe umeedit!!Ha ha ha umeona hiyo tu muone kwanza
Mh,huyo kuna jamaa anamlisha huko na kahitaji hela ndo mbinu ya kuzipata hiyo!
Ukimruhusu tu utasikia anakwambia kaibiwa
Nimejaribu kumchunia hadi sasa nahisi kama vile naanza kumchukiaKha mie mtu anayenuna simpendi sana kwa sababu anakuwa na kinyongo mno na huwezi kujua anawaza nini.
Jaribu kumchunia na wewe kutoombwa acha kununa uone kama ataweza kununa mwezi mzima anakutega tu huyo na anajua utambembeleza.
Pole mwaya