GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Leo hii nimeona habari huko tarime skuli au shule yakamilika kwa billion 1.7 na jina la shule ni Jk nyerere.
Hapa tz kila kiongozi akisimamia mradi anaandika jina lake, tumeona barabara, kuna Nyerere Road, Mkapa Road, Ali Hassan mwinyi Road, kuna hata mikopo ya wanafunzi ambayo inajulikana sijui membe scholarship, hata vyuo vikuu.
Hivi hii miradi ni kwa pesa zao au za wananchi? Nani anawapa mamlaka kuandika majina yao?
Tumechoka bwana kuwasikia majina yao kwa kutuwachia na umasikini, ulemavu kwa mateso ya dola ya ccm,uyatima, na tabu nyengine za ulimwengu.