Hivi Nchi za kiarabu kuna vyama vya siasa?

Siasa ni mfumo wa kitapeli ulianzishwa na mabeberu kukandamiza waarabu na waafrika

Unachokiongea unakijua wewe? Unajua siasa ni nini? Hiyo miarabu unayoisema haijawahi kuwa na siasa? Africa haija wahi kuwa na siasa? Wewe ni lipumbavue.

Tena naomba ukome kuweka pamoja Waafircan na mishetnai hiyo miarabu. Africa haina uwinao wowote na havo majitu yasiyo kuwa na haya wala utu. Koma kabaisa. Pumbaveu.

Kama huji hata siasa ninini, ondoa umbweha wako hapa mitandaoni ukajifunze. Pumbaveul
 
Kama vipo je kuna viongozi wa dini wanaojihusisha na siasa?Kuuliza si ujinga jamani!

Nchi nyingi za kiarabu zinatawaliwa kifalme AMBAPO VYAMA vya kisiasa haviruhusiwi na ni marufuku.na ni serikali za kiislamu.Dini na siasa ni kitu kimoja kwenye nchi za kiarabu .Nchi zinaendeshwa kwa sheria za kiislamu (ISLAMIC LAWS).Hivyo vioongozi wa kidini kama maimamu na masheikh wana nguvu kubwa kisiasa kwenye maeneo yao.Hata magari wanayotembelea huwa na namba tofauti zinazoonyesha hiyo gari ni ya sheikh kama zilivyo namba za magari za mawaziri,majaji,wakuu wa mikoa hapa kwetu.Kama ambavyo raia huwezi ovateki msafara wa gari ya raisi sehemu zingine nchi za kiarabu huwezi ovateki msafara wa gari ya sheikh au imamu wa msikiti.

Wapo askari polisi wa dini ambao kazi yao ni kuhakikisha jamii inatii sheria za kiislamu
 
Nchi za kiarabu kuna vyama vya siasa na viongozi wa dini wanashiriki moja kwa moja. Kkule Misri-Brotherhood, Lebanon-Hizbullah, Palestine-Fatah au kule Bahrain
 
Hamna kabisa kwa sababu waarabu wao hawajui nini maana ya democrasia yaani rais akiingia madarakani anafuta chama na kuwa mfalme,mfano sadam,asad,tunisia,libya n.k halafu udini utoke wapi urabuni wana uislamu tu,huo ukristo haurusiwi kabisa kutajwa ingawa upo,na kwa nchi za kifalme za kiarabu kwanza mfano saudi,oman,dubai, nk.Ole wako uikosoe serikali wafwaaa.Sasa kwa mfano huo kiongozi wa dini gani atajihusisha na siasa??
 
Back
Top Bottom