kinguo
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 440
- 318
Nauliza hivi kwa sababu. Hata kwenye mitandao ya kijamii. Kumezuka kasumba kuifanya ccm ionekane ndio kila kitu. Hata kama asingekuwepo mwalimu Tanzania ingekuwa tu huru. Kungepatikana tu watu wangeipigania nchi na uhuru ungepatikana. Sasa ccm kujiona kwamba wanauwezo wa kuwamulia watanzani zaidi ya milioni arobaini na tano naona ni ujinga tu. Na kuna watu wana uchungu na nchi hii kuliko hao chama cha majipu. Kama ccm inauchungu na nchi hii nadhani tungekuwa mbali sana kimaendeleo wao wamekalia tu kutetea chama kuliko wananchi. Namalizia kwa kusema kulikua na wababe wa dunia ila sasa imebaki historia tu kwa hiyo hata haya majipu ni muda tu ndio utakao amua amini nawambi hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho. Nawasilisha kwa hoja.