Hivi nchi hii ina laana? au NEC hawajitambui?

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,455
60bf28100d01705361e069aa4258060d.jpg

Someni wenyewe hawa jamaa juzi wamerudisha chenji ikulu kwa Rais kuwa zilizidi wala hazikuwa na kazi,
Leo wanasema hawakuwa na pesa ya kutosha kuelimisha wapiga kura,
Kuishi nchi hii ni kwa sababu hatuna jinsi tu
 
Hapo bado hujaweka na zile walizokula, wanarudisha hela huku wanajua elimu ya Mpiga kura na kuboresha daftari la Mpiga kura ni zoezi endelevu
 
Hii ndo nchi ya mwendokasi.. Kila mtu anajifanya mjuaji .. Na ukidanganya usiwe msahaulifu. Kuna cku humu tulilijadili kuna wapuuz wa ccm wakatetea sana... Kweli hawa nec wana akili???? #nchiyamwendokasi
 
60bf28100d01705361e069aa4258060d.jpg

Someni wenyewe hawa jamaa juzi wamerudisha chenji ikulu kwa Rais kuwa zilizidi wala hazikuwa na kazi,
Leo wanasema hawakuwa na pesa ya kutosha kuelimisha wapiga kura,
Kuishi nchi hii ni kwa sababu hatuna jinsi tu
WaTz wakipewa elimu ya uraia kesho yake wataiondoa serikali madarakani. Hivo Lubuva hawezi kufanya jambo hilo.
 
nchi hii inaharibika kwa kila mtu kutaka sifa kwa kiongozi wake, mwingine ajiite mbabe wa vita mwingine anarudisha salio huku anasema alikosa hela yaani ...naogopa kukamatwa ngoja niishie hapa
 
WaTz wakipewa elimu ya uraia kesho yake wataiondoa serikali madarakani. Hivo Lubuva hawezi kufanya jambo hilo.
Haka kazee ka-jumanina sana! Sijui kwa nini MUNGU wa siku hizi hana hasira za enzi ya akina Musa. Mpaka leo eti kanaendelea kunyang'anyana hewa na sisi? Ningekuwa Magu kesho ningekatumbua!
 
60bf28100d01705361e069aa4258060d.jpg

Someni wenyewe hawa jamaa juzi wamerudisha chenji ikulu kwa Rais kuwa zilizidi wala hazikuwa na kazi,
Leo wanasema hawakuwa na pesa ya kutosha kuelimisha wapiga kura,
Kuishi nchi hii ni kwa sababu hatuna jinsi tu
cc: Lizaboni - ufafanuzi wako ni muhimu sana hapa
 
Back
Top Bottom