Hivi NCCR Mageuzi ni wapinzani kweli?

Hivi NCCR Mageuzi ni wapinzani kweli?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,852
Hiki chama kina ruzuku ya kila mwezi lakini hawafanyi harakati zozote kukitangaza chama chao matokeo yake chama chenye wabunge 4 kikapata mitaa 8 Tanzania nzima yaani wanashindwa hata na ACT Wazalendo.

Kwanini wasiige hata kwa wenzao CHADEMA ambao wametapakaa Tanzania nzima wanafanya harakati na kuelimisha wananchi, ruzuku yao wanaitumia kwa masuala yapi chakushangaza kwenye umoja wa UKAWA wamepewa na majimbo ya kusimamisha wagombea hayo majimbo bora yangeachwa CCM ipite bila kupingwa maana hiki chama hakina mipango madhubuti ya kuwaondoa CCM madarakani viongozi wa chama hiki hawana maono yoyote kwa kifupi wamechoka.
 
Molembe=Milembe
😷😷😷😷😷😷
 
Ulishaona wapi mwenyekiti wa chama cha upinzani akateuliwa na mwenyekiti wa chama tawala kwenye nafasi ya kisiasa ambayo ni platform ya yeye kujijenga kisiasa?
 
HABARI AFRIKA: Tatizo lenu mnapenda siasa za ushamba na uzembe kama huyu mwenye kuandika mada hii jifunze siasa za hoja na s4 vijembe na matusi njoo na hoja ueleweke vyema unakuja na hoja kumshambulia mtu wewe utakiwa umepungukiwa busara na hekima kama binadamu, siasa za namna hii waachie CCM try to think global not local!
 
Mbatia ni mbunge wa kuteuliwa na mwenyekiti wa ccm,sasa atakuwaje mpinzani?
 
Molembo niwewe au kuna mtu ameingilia ID yako?
 
Tatizo hufanyi research ila unakurupuka kuleta bandiko hapa,NCCR wanafanya kazi na ziara kama ila hawashiki attention ya media na siku zote media hutaka habari inayouza ndio maan NCCR hawaripotiwi sana, wanakimbiza mwizi kimya kimya baadae wanamsuprise ni technic nzuri pia
 
HABARI AFRIKA: Tatizo lenu mnapenda siasa za ushamba na uzembe kama huyu mwenye kuandika mada hii jifunze siasa za hoja na s4 vijembe na matusi njoo na hoja ueleweke vyema unakuja na hoja kumshambulia mtu wewe utakiwa umepungukiwa busara na hekima kama binadamu, siasa za namna hii waachie CCM try to think global not local!
Mh! naona wewe hapa ndie mwenye chuki mbona jamaa hajamshambulia mtu? kunasehem kamtaja mtu!
 
Tatizo hufanyi research ila unakurupuka kuleta bandiko hapa,NCCR wanafanya kazi na ziara kama ila hawashiki attention ya media na siku zote media hutaka habari inayouza ndio maan NCCR hawaripotiwi sana, wanakimbiza mwizi kimya kimya baadae wanamsuprise ni technic nzuri pia
Kwanini WAZALENDO muda mfupi wamepata viti vya mitaa vingi zaid ya NCCR?
 
HABARI AFRIKA: Tatizo lenu mnapenda siasa za ushamba na uzembe kama huyu mwenye kuandika mada hii jifunze siasa za hoja na s4 vijembe na matusi njoo na hoja ueleweke vyema unakuja na hoja kumshambulia mtu wewe utakiwa umepungukiwa busara na hekima kama binadamu, siasa za namna hii waachie CCM try to think global not local!

jibu hoja.
 
Hiki chama kina ruzuku ya kila mwezi lakini hawafanyi harakati zozote kukitangaza chama chao matokeo yake chama chenye wabunge 4 kikapata mitaa 8 Tanzania nzima yaani wanashindwa hata na ACT Wazalendo.

Kwanini wasiige hata kwa wenzao CHADEMA ambao wametapakaa Tanzania nzima wanafanya harakati na kuelimisha wananchi, ruzuku yao wanaitumia kwa masuala yapi chakushangaza kwenye umoja wa UKAWA wamepewa na majimbo ya kusimamisha wagombea hayo majimbo bora yangeachwa CCM ipite bila kupingwa maana hiki chama hakina mipango madhubuti ya kuwaondoa CCM madarakani viongozi wa chama hiki hawana maono yoyote kwa kifupi wamechoka.

hawana ruzuku za kutosha wanasubili chadama iwapeleka kwa waingereza wapewe hela za kufanyia kampaini
 
Fitina hizi kwa UKAWA zimechelewa! Ndege ya UKAWA ilikwisha kupaa, kwa sasa tayari imefika "POINT OF NO RETURN"! Hatudanganyiki!!!!
 
Back
Top Bottom