SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
[h=5]Wanabodi nadhani hatujambo!
Kuna baadhi ya vijitabia bana vinakera sana..Hii ni kwa mujibu wangu lakini...Baadhi nimevioredhesha hapa chini..kama na wewe unadhani vinakukera hebu tusaidiane kuvisema ili tuvitokomoze.
1.Umenikuta na mtoto wa kike humjui ni nani kwangu mara ushaanza 'SHEMEJI HUJAMBO'?....(Kwa nini usisubiri utambulishwe..kama ni dadaangu?..ebo!)
2. Wewe kwako kuchangia kazi za WASANII ni mwiko..mtu akija kwako umejaza miCD ya kuchoma mpaka basi. (Kwa nini usiheshimu vipaji vya wenzio?).
3.Badala ya kutupa vitu vilivyochakaa wewe kwanza ndo wavitunza. No wonder stoo yako imejaa vitu (makorokoro)..kwa mfano karpet ukilitoa hulitupi n.k.. Unaweza kukuta pia una machupa ya maji matupu, ya shampoo, perfume pamoja na vipodozi vingine umeweka tuu wala huna shughuli navyo.(Moyoni mwako pengine unaamini kuwa ipo siku utayahitaji ).[/h]
5.Watoto wako wana majina yao lakini umewalazimishia majina ya utani kuwa ndiyo yazoeleke..mfano babu, bebi, chidi, dida n.k
[h=5]6.Kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta basi full kujaza program ambazo ni 'pirates'...yaani huna kitu 'genuine' hata kimoja (Halaf bingwa wa kujisifia like unafahamu vitu vingi kumbe mwizi tu).
7.Yaani mkeo akifua nguo zako lazima aumie vidole..manake mifuko yako ya suruali na mashati imejaa vitu kama vile 'toothpicks', 'nyembe' n.k (wakati mwingine umeweka tissue ambazo unabeba kila uendapo mgahawani).
8. Wewe mgogoro wa mapenzi kwa rafikizo kwako ni sherehe..mfano rafiki yako akiwa na mgogoro na mpenzi wake unatamani kisiri-siri waachane ili kama vipi umchukue shemeji yako, (japo saa zingine unajidai kuwapatanisha kwa bidii).
9. Yaani wewe ni mtu wa simu kali lakini kikubwa unachotafuta ni 'show off' tu....manake hupigi simu isipokuwa katika muda ambao gharama za kupiga ni nafuu..zako wewe ni kubeep tu..( Saa zingine hulali kisha unasubiria muda wa bure).
10.Yaani wewe ukitoa msaada kila mtu duniani atajua..mfano unapomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule (Kusaidia kwako ni ili upate return).
Ni hayo tu bandugu!!!!
[/h]