Unajua kuna kitu mimi kina ni changanya
Zamani tulifundishwa mwanamke mzuri wa kuishi naye au mwanaume bora wa kuishi naye ni yule ambaye ana tabia njema lakini siku hizi tunasikia mashauri kabisa tofauti na yale ya kipindi cha nyuma sa hasa kwa akina dada wa leo na akina kaka wa leo
Wengi wana kuambia mke bora ni yule ambaye unapendezwa na the way alivyo
Yaani wengi wanazungumzia beautiful face good shape Na mengine
Uku wanawake nao wanavutiwa na baadhi ya vitu fulani kwa wanaume
Wengi utasikia na penda mwanaume mweusi sijui mrefu sio mwembamba na mengine mengi
Je haya yanaweza kufanya udumu na huyo mwanamke wako? Au mwanaume wako?
Icho ndo nataka nijue maana nimesha changanikiwa kwasasa
Sent using
Jamii Forums mobile app