Mama sokwe yuko vizuri.
Niliwahi kuona documentary fulani mtoto wa nyani aliingia kwenye mikono ya mzee "mamba." Sasa mama "nyani" ali fight na mamba ile mbaya mpaka mamba akaachia mtoto japokuwa alikuwa amekufa tayari.
Wanyama kwa suala la malezi ya watoto wao hawataki mchezo..!