Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
Ndugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Inafanya kazi ?
Yaani unaweza ku erect horizontally ?
💪Picha tuone iliyosimama ulalo ikoje
ndio mkuuInasimama had vertically mkuu
nenda nao kwa mchungaji ili mpate kibaliTatizo sio urijali tatzo wanakataa kuja ghetto
Sasa kwanini usisubiri hadi ndoa mkuu?Hawanipigi chini mkuu yan with in mahusiano ndo wanakataa ku do mwingne alisema et mpaka ndoa
Huwa unaombaje mchezo kwani?Hapa naweza nikakubali
Hapo ndipo unapokwamia mzee...unafikiri kazi ya kumvua mtoto wa watu chupi ni rahisi kiasi hicho?Nawaambiag directly kuw nataka ku do
fanya hivo mkuuHahahaha
Ataenda nao wangapi aseee kwa mchungaji?nenda nao kwa mchungaji ili mpate kibali
mmoja tuAtaenda nao wangapi aseee kwa mchungaji?