May be your in a spectrumNdugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Unaweza kuwa KamaNdugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Hawanipigi chini mkuu yan with in mahusiano ndo wanakataa ku do mwingne alisema et mpaka ndoaSasa unawaitaje girlfriends kama hujawahi ku-do nao? Sema tuu ukweli huwa unapigwa chini kwenye harakati za kutongoza na wala hujawahi kubaliwa.
Unforgetable
Yan boy mm ni mtu mmoja calm sana madem ndo wananizinguagaUsikate tamaa boss..Kuna demu yeye nae hakuwahi dumu kwenye Mahusiano ila Na mimi tulidumu miaka 3 mpaka ndoa mpaka akawa anashangaa...!! Ishu inaweza kuwa wewe Upo very harsh na hao mademu hawawezi kukuchukulia poa... Jitahdi uwe calm
Kifanyio unacho ?Ndugu zangu wana jf ,, ndugu yenu nashindwa kuelewa na kwama wp kwan kila nikipata girl friend hauishi mwaka tushaachana ,, kupata mwingine ndo mtihani kabisaaa,,, pia licha ya kuwa na hao girlfriends wote sjawah ku do ,, nashindwa kuelewa nakwama wp
Chaputa??
Inafanya kazi ?Sasa kuna boy ambae hana dick bro??
Hapa naweza nikakubali