my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Wewe hulali? Au umeamka?Ngoja waamke
Mimi huwa silali mkuu.Wewe hulali? Au umeamka?
Ndio maana nasemaga humu hakuna watu kuna mazombi 😂Mimi huwa silali mkuu.
Usiogope mkuu mimi sio zombie ukitaka nithibitishe niambie.Ndio maana nasemaga humu hakuna watu kuna mazombi 😂
Really? Una akili nyingi wewe 😂😂Nimesoma treads zako nyingi.....
Nilicho gundua ni kwamba, unapitia desperation and stressful..
Sent using Jamii Forums mobile app
M nipo nafanya sex kwa stress na ninaenjoy kijizi..ebu fanya kuni pm..tuunganishe stress zetu tufurahie sex..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uthibitishe nn sasa wakati umesha sema hulali. Binadamu gn asielala. wewe wa kuogopwa 🏃🏃Usiogope mkuu mimi sio zombie ukitaka nithibitishe niambie.
Tupo tofauti wengine usiku ndio akili zina charge vizuri.Uthibitishe nn sasa wakati umesha sema hulali. Binadamu gn asielala. wewe wa kuogopwa 🏃🏃
Au mchawi? 😂😂 Mimi silali kwa sababu sehemu naishi sasa ni saa 17. Usiku haujafika badoTupo tofauti wengine usiku ndio akili zina charge vizuri.
Wewe unafanya nini kwanini hulali?
Mimi tokea nipate akili nmewahi kuwa ktk relationships 2 tu hii ya sasa hv ni ya pili. Lakn ktk hizi relationship sijawahi kufurahia sex, kwangu mimi sex sio starehe km wengine. Huwa nafurahia sex nikiwa na stress tu lakin nikiwa kwa hali ya kawaida nafanya tu km kumpa ushirikiano mwenzangu lakn sioni raha ila nikiwa na stress napata raha haielezeki. Nikiwa kawaida romance inanipa raha kuliko sex. Hv Kwann inakuwa hv? Na nyinyi pia mko km mimi?
Sio mchawi, ni hali tu ya kawaida kwangu naona. Upo state gani hapo US?Au mchawi? 😂😂 Mimi silali kwa sababu sehemu naishi sasa ni saa 17. Usiku haujafika bado