Hivi na nyinyi mko kama mimi?

Hivi na nyinyi mko kama mimi?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Mimi tokea nipate akili nmewahi kuwa ktk relationships 2 tu hii ya sasa hv ni ya pili. Lakn ktk hizi relationship sijawahi kufurahia sex, kwangu mimi sex sio starehe km wengine. Huwa nafurahia sex nikiwa na stress tu lakin nikiwa kwa hali ya kawaida nafanya tu km kumpa ushirikiano mwenzangu lakn sioni raha ila nikiwa na stress napata raha haielezeki. Nikiwa kawaida romance inanipa raha kuliko sex. Hv Kwann inakuwa hv? Na nyinyi pia mko km mimi?
 
Pole sana mkuu wewe itakuwa hutombwi vizuri kama inavyotakikana!
Siku ukiipata ikakunyoosha sawasawa utamchukia sana huyo anayekupapasa siku zote hizi
Mimi tokea nipate akili nmewahi kuwa ktk relationships 2 tu hii ya sasa hv ni ya pili. Lakn ktk hizi relationship sijawahi kufurahia sex, kwangu mimi sex sio starehe km wengine. Huwa nafurahia sex nikiwa na stress tu lakin nikiwa kwa hali ya kawaida nafanya tu km kumpa ushirikiano mwenzangu lakn sioni raha ila nikiwa na stress napata raha haielezeki. Nikiwa kawaida romance inanipa raha kuliko sex. Hv Kwann inakuwa hv? Na nyinyi pia mko km mimi?
 
Kule kwenye Familia atujamaliza umekimbilia uku ndugu yngu uko na shida stress mingi sna naomba nikusaidie. Ni check whatssap +27784696692
Mimi tokea nipate akili nmewahi kuwa ktk relationships 2 tu hii ya sasa hv ni ya pili. Lakn ktk hizi relationship sijawahi kufurahia sex, kwangu mimi sex sio starehe km wengine. Huwa nafurahia sex nikiwa na stress tu lakin nikiwa kwa hali ya kawaida nafanya tu km kumpa ushirikiano mwenzangu lakn sioni raha ila nikiwa na stress napata raha haielezeki. Nikiwa kawaida romance inanipa raha kuliko sex. Hv Kwann inakuwa hv? Na nyinyi pia mko km mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadada wengi/wakaka wanaojimusturtbate wanapitia sana hali hiyo hivo acha utakua sawa
 
Back
Top Bottom