Hivi na halali kumuita Lowasa fisadi?

Hivi na halali kumuita Lowasa fisadi?

mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
1,152
Reaction score
638
Nimekuwa nafatilia siasa za CCM na UKAWA lakini ninaona CCM wakimtuhumu Lowasa ni fisadi, ninaomba kuuliza,
1.je ni chombo kipi kina mamlaka ya kusema kiongozi fulani ni fisadi?
2.kama mtu anayesemwa fisadi hajashtakiwa je sio kosa kisheria kumuita mtu fisadi?
3. Kwa mfano mtu akiandika JK fisadi bila ushaidi unataka kuniambia hataweza kukamatwa? Kama atakamatwa je kuna double standard hapa ya sheria?
 
Uliza chadema, ndo walikua wanadata, afu fatilia kauli za viongozi wa chadema!!!
Viroba vyako usituletee Huku
So.... And if you don't know, now you know #hapakazitu
 
Nimekuwa nafatilia siasa za CCM na UKAWA lakini ninaona CCM wakimtuhumu Lowasa ni fisadi, ninaomba kuuliza,
1.je ni chombo kipi kina mamlaka ya kusema kiongozi fulani ni fisadi?
2.kama mtu anayesemwa fisadi hajashtakiwa je sio kosa kisheria kumuita mtu fisadi?
3. Kwa mfano mtu akiandika JK fisadi bila ushaidi unataka kuniambia hataweza kukamatwa? Kama atakamatwa je kuna double standard hapa ya sheria?
Nawashangaa wanaowachoma moto Vibaka na
kumuacha Lowassa akitanua mitaani-Freeman
Mbowe
Lowassa ni dhaifu na bubu- Freeman Mbowe.
CCM wamempatia Fisadi Lowassa fomu ya
kugombea urais. Ni hatari sana-Tundu Lissu.
I thought safari ya matumaini was poorly
organized, imekuwa safari ya matumizi-Tundu
Lissu.
Nina ushahidi wa kutosha kuhusiana na Wizi na
Ufisadi wa Lowassa na Rostam- John Mnyika.
Nimesema kama UKAWA tutamsimamisha fisadi ,
mna haki ya kututosa-Halima Mdee
Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana
mtu fisadi kama Lowassa- Godbless Lema
Anayemuunga mkono Lowassa akapimwe akili
haraka- Mch. Peter Msigwa
Pamoja na haki ya kila mtu kugombea urais ,kwa
hawa walioomba kutoka CCM, I don't see talent ,
kwangu mimi wote ni average brain- Peter
Msigwa
Rais Jakaya Kikwete amefanya kazi nzuri na
kubwa wakati wa utawala wake na nikipewa
ridhaa ya kuiongoza nchi nitaendeleza pale
alipoishia- Edward Lowassa
Duniani kuna viongozi wa aina mbili, bookkeepers
na visionary leader. Rais Kikwete ni visionary
leader ambaye anaona mbali- Edward Lowassa
Rafiki yangu Rais Jakaya Kikwete ameharibu
sana uchumi wa Tanzania- Edward Lowassa.
 
Nimekuwa nafatilia siasa za CCM na UKAWA lakini ninaona CCM wakimtuhumu Lowasa ni fisadi, ninaomba kuuliza,
1.je ni chombo kipi kina mamlaka ya kusema kiongozi fulani ni fisadi?
2.kama mtu anayesemwa fisadi hajashtakiwa je sio kosa kisheria kumuita mtu fisadi?
3. Kwa mfano mtu akiandika JK fisadi bila ushaidi unataka kuniambia hataweza kukamatwa? Kama atakamatwa je kuna double standard hapa ya sheria?
Kwa nini hujiulizi walioanza kumuita lowasa fisadi Ni akina nani mpaka akajiuzulu uwaziri mkuu halaf ndo ushangae wengine kumuita fisadi.
 
Back
Top Bottom