Kama ni Mpira ni lazima acheze nje "uwanjani" labda kama kuna mchezo wa kucheza ndani tu Mkuu.Mbona jamaa ni wa kawaida sana huyu.
Mzize ikitokea akapata timu nje ninadhani ndani ya miezi 6 watamrejesha Tz kwa mkopo
Mbona amepewa CHAN akashindwa kuivusha Taifa Stars 🌟 halafu mchezaji makini hawezi kupoteza golden chance kama ile aliyobaki na kipaMpe mkeo acheze nae ndio utajua mzize ni mchezaji wa kawaida au ni wa namna gani????
Mbona hujatuambia kwa nini sio wa kucheza nje? Yaani unakuja na hisia tu halafu uzi umekwisha. Tuambie kwa nini?Mbona jamaa ni wa kawaida sana huyu.
Mzize ikitokea akapata timu nje ninadhani ndani ya miezi 6 watamrejesha Tz kwa mkopo
Kiukweli asipoongeza bidii hatomaliza mwaka kule mana anaonekana bado kwenye finishing hayuko vizuri sana....Mbona amepewa CHAN akashindwa kuivusha Taifa Stars 🌟 halafu mchezaji makini hawezi kupoteza golden chance kama ile aliyobaki na kipa
Ni wa kawaida sana.Mbona hujatuambia kwa nini sio wa kucheza nje? Yaani unakuja na hisia tu halafu uzi umekwisha. Tuambie kwa nini?
Alivokosa goli la wazi chan hakuna aliyemtaka tena! Mbona mayele anakiwasha piramidMzize is overrated! Waarabu wangeenda kumweka benchi maana lengo lao ni kupunguza nguvu timu zetu, mchezaji chances kibao hata 1 hafungi