Atoe pooleeee? Yeye ndiye master wa ujasiri wa Samia. Jeuri yoooooooote, anaitoa kwake! Sina shaka hata mbinu za UUAJI, alizitoa yeye!Huyu mzee hivi katoa pole yoyote kwa wahanga wa October 29?
kuna mtu aliniambia kuwa siku ya mkutano wa samia na vibabu vya dar alikuwepo ila bado sijaamini mwenye picha anitagHuyu mzee hivi katoa pole yoyote kwa wahanga wa October 29?