Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Jun 10, 2020 #41 Wakati huohuo mwanaume mie!
osmaney JF-Expert Member Joined Jan 18, 2017 Posts 1,042 Reaction score 1,000 Jun 10, 2020 #42 Dahh poa bn[emoji28]
E Englishlady JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 2,734 Reaction score 3,655 Jun 10, 2020 #43 recycle Bin said: Makalio kila mtu anayo sema makalio makubwa [emoji1]. Ndevu kitu gani hadi mbuzi anazo mwanaume ni pesa izo ndevu mnatutaftia sababu tu za kutuweka makundi makundi kama ilivyo kwa wenye pesa na wasio na pesa. Click to expand... Pole sana bana Mwanaume pamoja na pesa yako lazima uwe na haiba ya kiume....kwani unafikiri wanawake hatuna pesa? Vindevu huwa vinavutia ushikweshikwe na mpenzi aburuze kidevu chake... Ina raha yake.
recycle Bin said: Makalio kila mtu anayo sema makalio makubwa [emoji1]. Ndevu kitu gani hadi mbuzi anazo mwanaume ni pesa izo ndevu mnatutaftia sababu tu za kutuweka makundi makundi kama ilivyo kwa wenye pesa na wasio na pesa. Click to expand... Pole sana bana Mwanaume pamoja na pesa yako lazima uwe na haiba ya kiume....kwani unafikiri wanawake hatuna pesa? Vindevu huwa vinavutia ushikweshikwe na mpenzi aburuze kidevu chake... Ina raha yake.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,405 Reaction score 114,842 Jun 11, 2020 #44 Englishlady said: Pole sana bana Mwanaume pamoja na pesa yako lazima uwe na haiba ya kiume....kwani unafikiri wanawake hatuna pesa? Vindevu huwa vinavutia ushikweshikwe na mpenzi aburuze kidevu chake... Ina raha yake. Click to expand... Hiyo pole sio yangu mkuu ndevu zipo ila kwa wasionazo naona ni kawaida
Englishlady said: Pole sana bana Mwanaume pamoja na pesa yako lazima uwe na haiba ya kiume....kwani unafikiri wanawake hatuna pesa? Vindevu huwa vinavutia ushikweshikwe na mpenzi aburuze kidevu chake... Ina raha yake. Click to expand... Hiyo pole sio yangu mkuu ndevu zipo ila kwa wasionazo naona ni kawaida
mmewadadako JF-Expert Member Joined Mar 29, 2019 Posts 534 Reaction score 850 Jun 11, 2020 #45 Anaehitaji mafuta ya ndevu na ya kuondoa uwalaza anichek 0765 49 45 48
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,959 Reaction score 204,075 Jun 27, 2020 #46 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeeh jf raha sana