Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,634
- 164,755
Tuache kujifariji mkuu bali tujitafakari kwanini sisi waafrika tuko hiviWengi wa weusi wenye high IQ waliuzwa utumwani waliobakia afrika ni wanyonge na IQ ndogo
Inawezekana kuna ukweli fulani maana matendo ya hasa viongozi wengi wa Africa kwa mataifa yao utadhani wanatumia matumbo kufikiria !Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu kulinganisha na watu wa mabara mengine kumetokea hivi hivi tu pasipo kuwa na sababu?
Je, si kweli sisi watu weusi our main problem has got something to do with nature that is responsible for our existence?
Kwanini hata rangi yetu ya ngozi sisi wenyewe tunaiona haitufai kiasi kwamba hata wanaweke wanajichubua?
Je, si ni sisi wenyewe hukashifiana kwa kuita watu wengine weusi kama mkaa au utasikia jamaa "mweusi tiii"
Na je, hata nywele zetu kwa muonekano ni kama za watu wa mabara mengine?
Je, si kweli kuna baadhi yetu wanapenda nywele za kizungu kuliko za kwetu?
Alafu umewahi kujiuliza ni kwanini haijatokea sisi watu weusi tukaenda kutawala watu wa mabara mengine mfano Ulaya, n.k?
Jiulize ni kwanini leo hii tunaanza kuona dalili za kuwatawaliwa na wachina?
Na je, umejiuliza ni kwanini karibu kila kitu kinaanza ulaya na si kianzie Afrika kisha kiende katika mabara mengine?
Kwa mifano hii michache miongoni mwa mingi iliyopo, haoni kuwa huenda sababu kuu ni kuwa sisi watu weusi huenda tulikuwa binadamu wa kwanza kutengenezwa ila baadae tukaonekana tuna mapungufu na hivyo utengenezaji wa binadamu ukaendelea kuboreshwa kuanzia rangi, uwezo wa kufikiri,maarifa nywele, n.k?
Je, mpaka hapa huoni logic ya mtu wa kale zaidi duniani kupatikana katika bonde la Olduvai Gorge(kama sikosei) ambalo liko Africa tena katika hili eneo la maziwa makuu na ndio eneo ambalo liko nyuma kuliko regions zote katika huu ulimwengu?
Wadau, japo maneno haya yanaweza yasiwapendeze watu, lakini je,unaona hakuna la kujiuliza mpaka hapa?
Je, hali hii ni hivi hivi tu?
Huu ni uongo ! Utumwa ulizoaje IQ wote ? Wakati utumwa ulitaka zaidi physical manpower ! Wenye IQ waliwezaje kukamatwa na mwarabu au mzungu mwenye gobole moja au hata kumi na wao wakiwa maelfu washindwe kumdhibiti ?Wengi wa weusi wenye high IQ waliuzwa utumwani waliobakia afrika ni wanyonge na IQ ndogo
Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu
Kumbuka ya Michael Jackson ya kutaka kujibadilisha afanane na wazungu.Ukwel mtupu Ila hatukubali
Hahahahaaa! Sio kwa maana hiyo bhana !!View attachment 865724
Unaweza ukawa unasema kweli tuko nyuma kwenye kila kitu ila sio mbaya.View attachment 865724
Tukae tu nyuma.
Mfano mwingine ni hili la kuagiza chuma toka ulaya ili kujenga reli ili hali tuna chuma yetu wenyewe.Huu ni uongo ! Utumwa ulizoaje IQ wote ? Wakati utumwa ulitaka zaidi physical manpower ! Wenye IQ waliwezaje kukamatwa na mwarabu au mzungu mwenye gobole moja au hata kumi na wao wakiwa maelfu washindwe kumdhibiti ?
Tukubali kiujumla watu weusi tunamapungufu kiuumbwaji ! We lijitu tena kiongozi linaiba mali na fedha za nduguze Africa linaenda ficha ulaya na America jitu la calibre hii kweli ni kamili kiuumbwaji? Sidhani !
Ziko hadithi za mapokeo kuhusu early civilization, kuwa asili ya mtu mweusi ni mmoja kati ya wana watatu wa Nuhu baada ya gharika, yaani Ham, Shem na Japhet, mmoja alikuwa mweusi, baba yao alipozeeka, kuna siku alikaa vibaya, mtoto mmoja akamchungulia tuu, bila kufanya chochote, mtoto mwingine, akamwita mwenzake ili washauriane cha kufanya, yule wa tatu kuona tuu hali ile, kwanza alikwenda kumsitiri, hiyo mmoja akabarikiwa sana, ndio wazungu, wa pili akabarikiwa kidogo, ndio Asians, na watatu alilaaniwa, ndio Africans!.Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu kulinganisha na watu wa mabara mengine kumetokea hivi hivi tu pasipo kuwa na sababu?
Hilo la kijiografia hata mimi nimewahi kuliwaza na inawezekana "Nature" ilitambua hili mapema na kuona bara hili lisilo na changamoto nyingi za kijiogafia na kimazingira lingeendana na uwezo wa mtu mweusi na ndio sababu tukawa positioned hapa Africa.Sisi sio binadamu halisi,ni mfano wa binadamu ndo maana tukawekwa kwenye bara jeusi lenye kila kitu na lenye changamoto kidogo za kijiografia ili tujirahisishie maisha ila bado tumeshindwa.Kwaiyo utaona tuliumbwa tuwe wafanyakazi ndo sababu tunatumia nguvu nyingi akili kidogo iyo inafanya binadamu halisi wanatutumia kama nguvu kazi.Kwaiyo naweza kukubaliana na wewe kua iko shida mahali flani kiuumbaji.