Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Yaani eti unakuta watu povu linawatoka all the time, wanajadili kama fulani ni mpinzani au sio mpinzani, wengine wanasema hapana yule si mpinzani mara mabishano yanaanza.
Haya mara chama fulani ni cha upinzani, mara hapana si cha upinzani, haya ubishi na kutupiana maneo.
Sasa labda niulize, hivi mtu ukiitwa mpinzani ni sifa?au ishu hapa ni nini hasa?
ACT achaneni na hawa watu, kiwe ni chama cha upinzani au tawala kila mtu atajua mwenyewe. La msingi ni chama chenye usajili na kinachofanya kazi zake kwa mujibu wa sheria
Mengine kupotezeana wakati tu.