Hivi Mtu "Funny" ndio mtu gani?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,491
Reaction score
100,891
Waswahili wenzangu eeeh, hebu nipeni sifa za huyo mtu, yukoje? na unawezaje kujua fulani yuko hivi na sio fulani? Aagh maneno mengine yanakera sana hatakurudia kuyatamka. Naombeni mnisadie wajameni
 
fun: enjoyment, entertainment, amusement, pleasure, jollification, merrymaking, recreation, diversion, leisure, relaxation, a good time, a great time, rest and recreation, R and R, a ball; merriment, cheerfulness, cheeriness, jollity, joviality, jocularity, high spirits, gaiety, mirth, laughter, hilarity, glee, gladness, lightheartedness, levity.....

kwa maana hiyo huyo mtu ana hivyo vitu hapo juu
 
Waswahili wenzangu eeeh, hebu nipeni sifa za huyo mtu, yukoje? na unawezaje kujua fulani yuko hivi na sio fulani? Aagh maneno mengine yanakera sana hatakurudia kuyatamka. Naombeni mnisadie wajameni

positive=mtu anaefurahisha,ukiwa nae ni burudani
negative=mtu kituko.

kwahio inategemea umeambiwa/umeitwa funny katika mazingira gani.
 
Mwenye kuchekacheka(Rahisi wetu)
 
fundi washii ana fani....fundi viatu pia fani.mfano wa sentensi.mwalimu msofe alituambia ili kuwa na maisha mazuri tujifunze fani ya kuranda mbao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…