Hivi mtu anakunyimaje Amani

Inashangaza.

Yaani kuna mtu ambaye nikimuona nashindwa kuongea nashindwa kufanya nachofanya, nashindwa kila kitu, wakati hajanikosea wala sijawahi kumkosea sasa hii sijui hii imekaaje?

Wadau.

Mahaba nivurugee... mahaba nichangayee.... mahaba nipotezee hii ndio maana yake
 
Hebu funguka zaidi, unashindwa kufanya mambo yako kutokana na hisia za mahaba niue au chuki au kichefuchefu tu ukimuona?
 
Hebu funguka zaidi, unashindwa kufanya mambo yako kutokana na hisia za mahaba niue au chuki au kichefuchefu tu ukimuona?

Yaani najikuta natetemeka hata sauti haitok
 
Yaani najikuta natetemeka hata sauti haitok

Unakosa pozi kwa kumpenda au chuki inakufanya usipende uwepo wake? Jibu Usaidiwe maana kila kimoja kina suluhisho tofauti.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…