Hivi mtu anakunyimaje Amani

Hivi mtu anakunyimaje Amani

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,461
Reaction score
2,320
Inashangaza.

Yaani kuna mtu ambaye nikimuona nashindwa kuongea nashindwa kufanya nachofanya, nashindwa kila kitu, wakati hajanikosea wala sijawahi kumkosea sasa hii sijui hii imekaaje?

Wadau.
 
Inaelekea ata kulala hauja lala, maana asubuhi yote hiii unalalamika.
 
umri wako + udomo zege + kutojiamini + hofu = unakua bubu
 
Asprin

Anaenikosesha amani ni she.

Mimi ni Man!
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wanaoshikiwa akili tu ndiyo rahisi kunyimwa amani otherwise hakuna kitu Kama hicho,,
 
Sasa ww unanichambua ama unatoa ushauri
Pole,,mi nimechukulia katika maisha ya kijamii
Lakini kama ni maisha ya mahusiano kwa kweli sina uzoefu kwa maana hiyo sina comment katika hilo
 
Sasa unakataa wakati najijua mkuu!

samahani now natumia JF Mobile, unaweza kuniambia republic power yako ni ngapi, maana watu mnaitafuta sana hiyo
 
samahani now natumia JF Mobile, unaweza kuniambia republic power yako ni ngapi, maana watu mnaitafuta sana hiyo


Republic yangu kwa watu ni ndogo siwezi kuzungumza mbele za watu wengi au mtu ambae sijamzoea
 
Back
Top Bottom