Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,757
- 32,374
Hao hapo kwenye bold, labda ndio washauri wakeHana mshauri, kasema kaombwa na viongozi wa dini na wanachama.
Mshauri mkuu wa Lipumba ni Mchepuko wake, Lipumba sasa si msomi tena wala hakumbuki alichokisomea kichwani kavisahau maana hakuwa akivifanyia kazi mda mwingi alikalia siasa za maji taka, kwa sasa Lipumba anaongea pumba tu amekuwa profeselii wa ZE olijino comedy, kichwani karejea kuwa na Elimu kama Profesa maji marefu, Kilichokuwepo sasa ni biashara anafanya kabuni mladi baada ya kuishiwa zile pesa alizopewa na Membe Kipindi cha kampeni akatoroka, kaamua kuchukua pesa tena CCM ili arejee CUF kwenda kuua chama, ametumwa na CCM Zanzibar na Tanganyika aende kueneza sumu chama kisambaratike hafai hata kidogo Lipumba ni Hatari kuliko maelekezo.Huyu jamaa ni msomi mzuri wa uchumi. Lakini ni mmoja ya wanasiasa wa hovyo kabisa kuwah kutokea dunia hii.
Nimejiuliza je anashauriwa na nani?ina maana hata mambo mengine hashauriwi na mkewe au watoto watoto wake?
Lipumba ni Profeselii wa ze olijino comedy anazidiwa ujanja na Profesa maji marefu, Mshauri wake mkuu wa siasa akina Nape na January ambao kupitia humu hujinufaisha pindi pesa ikitoka kwenda kwake kwa maana kwamba hupata 10% ya kufanikisha mchongo, mfano sasa wanapiga pesa za CCM kwenye huu mchakato wa kumrejesha Lipumba akadhoofishe CUF.Tetetetete nimegundua kwa kutumia elimu ya Tanzania hauwezi kufuta ukilaza kabisa na kuuu la ****** yupo level ya Uprofessor.
Hana MSHAURI ndio maana anafanya mambo ya ajabu kiasi kwamba hata vilaza kama mimi tunashangaa kama ni Profesa wa uchumi kweli au wa maji marefu ! Kama uprofesa wake ni wa maji marefu basi CUF sio saizi yake, aende tu kule upande mwingine, yaani CCM.Huyu jamaa ni msomi mzuri wa uchumi. Lakini ni mmoja ya wanasiasa wa hovyo kabisa kuwah kutokea dunia hii.
Nimejiuliza je anashauriwa na nani?ina maana hata mambo mengine hashauriwi na mkewe au watoto watoto wake?
Mkuu Lipumba alipewa Mabilioni ya dola tena pesa za marehemu Gadafi na NIDA toka kwa Membe akawakimbia Ukawa kwa visingizio feki, pesa zimeisha na Mchepuko wake anataka pesa kaamua kubuni mladi mwingineo ili ccm watoe pesa arudi CUF kwenda kudhoofisha chama, Lipumba hana uchungu na chama yeye yupo after money.Hana MSHAURI ndio maana anafanya mambo ya ajabu kiasi kwamba hata ****** kama mimi tunashangaa kama ni Profesa wa uchumi kweli au wa maji marefu ! Kama uprofesa wake ni wa maji marefu basi CUF sio saizi yake, aende tu kule upande mwingine, yaani CCM.
Huyo si Profesa bali ni Profeselii wa ZE olijino comedy hana Taaluma kichwani, keshasahau alichosoma kitambo sasa yupo kama Profesa maji Marefu anapiga Dili kupitia siasa.hahaha maprofesa sawa kuku wa kisasa ht ukmuacha don't move
Huyu jamaa ni msomi mzuri wa uchumi. Lakini ni mmoja ya wanasiasa wa hovyo kabisa kuwah kutokea dunia hii.
Nimejiuliza je anashauriwa na nani?ina maana hata mambo mengine hashauriwi na mkewe au watoto watoto wake?
ndipo ujue mkuu kuwa hao wanaojiita Wasomi Nchi hii ni shiiiiiiiida! Ebu pina hii Lipumba hujiita Profesa lakini waliokwenda kumrubuni akatoroka Ukawa Kipindi cha kampeni ni Div 4 Nape na Div zero form six January Makamba walimsomesha akaingia line akachukua pesa toka kwa membe na wao kupata 10% humo, kama kweli ni Msomi iweje akamatwe Akili na watu ambao si Wasomi wala maprofesa?Lipumba hana mke anaishi kisela ndiyo maana hata akikurupuka hamna wa kumshauri. Hivi mtu mzina kama yule unawezaje kuishi kibachela?
Una ushahidi?hana mke anaishi kisela tu kutwa kubadili michepuko hata nyumba anayoishi Mbezi beach alinunuliwa na Membe kutoka zile pesa za marehemu Gadafi.