WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Mashudu yanatokana na pumba zililzopitia kwenye mchakato (processed)Huwa naona usukumani wakikoboa mpunga mabaki yale yamelundikwa bila kazi. Ila leo nimemsikia waziri wa Kilimo akisema watu wasiuze nje ya nchi mpunga nje waukoboe ili wapeleke mchele na wabaki na mashudu
Oh kumbeeMpunga unamashudu na mapumba.ie.pumba laini na pumba ngumu.pumba laini hutumika kulishia mifugo,pumba ngumu hutumika kuchomea tofali,mbolea nk.
Hivi hiyo pumba ikiwa ina libonge likuuubwaaa lile lililoshikana!!hivi wakuu nikiliita" lipumba"hivi itakuwa nimekosea kiswahili kweli!!!!Mpunga unamashudu na mapumba.ie.pumba laini na pumba ngumu.pumba laini hutumika kulishia mifugo,pumba ngumu hutumika kuchomea tofali,mbolea nk.
Hivi mnaelewa mnachokiongelea nyie mbwiga? Tangu lini mpunga ukawa na mashudu? Mpunga una pumba tu hakuna kitu inaitwa mashudu hapo! Mashudu yanatokana na mbegu za mafuta, kama vile pamba, alizeti, karanga, ufuta, korosho, nazi, n.k. mara baada ya kukamuliwa mafuta. Pengine hata mahindi yanaweza kutoa mafuta maana huwa yanakamuliwa mafuta pia! Pumba laini (rice polishing) ndo hutumika kulishia mifugo na lile gamba la juu (rice husks) hutumika kuchomea matofari huku Usukumani au kuwekwa kwenye mabanda ya kuku na kuwa mbolea safi kabisa mara yanapozolewa kutoka kwenye mabanda hayo!Mpunga unamashudu na mapumba.ie.pumba laini na pumba ngumu.pumba laini hutumika kulishia mifugo,pumba ngumu hutumika kuchomea tofali,mbolea nk.
teh teh tehHivi hiyo pumba ikiwa ina libonge likuuubwaaa lile lililoshikana!!hivi wakuu nikiliita" lipumba"hivi itakuwa nimekosea kiswahili kweli!!!!
Mkuu na mie nilimsikia alijing'ata kwanza ndo neno mashudu likamjia. Mabaki ya mpunga yanaitwa pumba ila mashudu ni ya pamba. Watanzania wapo makini sana siku hizi viongozi wajipange wanapotoa maelezoHuwa naona usukumani wakikoboa mpunga mabaki yale yamelundikwa bila kazi. Ila leo nimemsikia waziri wa Kilimo akisema watu wasiuze nje ya nchi mpunga nje waukoboe ili wapeleke mchele na wabaki na mashudu
Uchochezi huu, defender iko nje hapo inakusubiriHuwa naona usukumani wakikoboa mpunga mabaki yale yamelundikwa bila kazi. Ila leo nimemsikia waziri wa Kilimo akisema watu wasiuze nje ya nchi mpunga nje waukoboe ili wapeleke mchele na wabaki na mashudu
Una maana gani Mkuu kusema ni uchocheziUchochezi huu, defender iko nje hapo inakusubiri