Hivi Moise Katumbi ni nani Congo

Hivi Moise Katumbi ni nani Congo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Leo nilikuwa zangu uko Facebook si ndo nikakutana na post hii. Naona watu wanalalamika na sio hiyo tu ni post nyingi nimekutana nazo za kuhusu huyu Moise Katumbi

Watu wanalalamika kwanini Moise Katumbi yupo kimya kwenye suala hili la vita vya Kongo na Rwanda
Watu wanauliza kwanini yupo kimya kiasi hiki hasikiki wala kutoa kauli yake kutetea wananchi wa Congo

Kwani huyu Moise Katumbi nani hasa kule Congo?

Screenshot_20220708_135430_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20220708_134703_com.facebook.katana.jpg
 
Katumbi NI kama GSM,DEWJI,wananufaika na serikali miradi yote wanagandana na serikali huku wananchi wakizubaishwa kuangalia Simba na YANGA wakisahau kuulizia rasilimali za nchi yao
Ohooooo !!!
 
Mwandishi anamlaumu Moise kwa nini yuko kimya kwenye uchokozi wa Rwanda dhidi ya nchi yake RDC?
Anasema 2023 inakuja, possibly ana refer uchaguzi ujao wa Congo.

Summary ya hicho kipande umepost ndio hiyo.

Moise ni mfanyabiashara, mmiliki wa TP Mazembe na alikuwa mgombea urais nadhani kipindi cha Kabila.
 
Naona unadhani watu wote humu francophone, bonjour
Haha
Mi nimejiongeza nika i paste googke translate, burdaaan kabisa !
Jaribu google translate inasaidia sana , last time nilikuwa nachat na mtu wa spain ambaye hajui english , naandika zangu kiswahili kisha na paste translate , halafu nacopy transition na ku paste whats up , anachonijibu nakiqeka tena translate , !! Easy
 
Duuh hii google translator me naonaga inapotosha maana halisi
 
Haha
Mi nimejiongeza nika i paste googke translate, burdaaan kabisa !
Jaribu google translate inasaidia sana , last time nilikuwa nachat na mtu wa spain ambaye hajui english , naandika zangu kiswahili kisha na paste translate , halafu nacopy transition na ku paste whats up , anachonijibu nakiqeka tena translate , !! Easy
Inaweza kukupeleka chaka sana! Ila kama huna idea ya lugha husika na interaction ni lazima basi declare kwa mhusika kuwa unatumia GT, ili akiona makosa asi mind!
 
Katumbi NI kama GSM,DEWJI,wananufaika na serikali miradi yote wanagandana na serikali huku wananchi wakizubaishwa kuangalia Simba na YANGA wakisahau kuulizia rasilimali za nchi yao
Huu ni ukweli mchungu sana, yaani watu kutwa nzima ni Yanga na Simba, hakuna cha kuhoji Viongozi
 
Back
Top Bottom