Hivi modem zimetofautiana speed?

Hivi modem zimetofautiana speed?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Kwa modem zenye nguvu zaid ni zipi? na mtandao gani? na je ukiunlock ubora wake unakuaje?
 
Kwa sasa Usb modem karibia zote nchini zina speed ya 7.2Mbps na mtandao wenye speed zaidi ya mingine inategemea maeneo uliyopo na idadi ya watumiaji wa mtandao husika.

Model zilizopo sokoni ni:-
1.Huawei E173 zinazotumika kwa mitandao ya voda na Airtel
2.Huawei E303 zinazotumika kwa mitandao ya Voda,Zantel 3G na Tigo
3. Zte mf 180-190 za Airtel.

Pia kuna Modem za CDMA za mitandao ya Zantel,Sasatel na TTCL ambazo hazitumii hizi line za GSM

Kati ya zote hizo zilizo rahisi kuunlock ni E173 za voda maana ukiweka unlock code mambo safi hata hivyo E303 pia hazisumbui sana katika kuchakachua.
Hizo zilizobaki kama una moyo mwepesi ziache zilivyo
 
akhsante kwa taarifa!
 
Back
Top Bottom