Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,216
Ukizoea hali ya hewa ya Arusha, mikoa kama dar na dom hutapenda kusishi. Ni matesoNakumbuka nilivyoenda Dodoma mara ya kwanza 2019, Juwa liliniwakia wiki moja tu nikawa nimapasukapasuka ngozi ya uso na mikono,nikaacha kodi ya nyumba maeneo ya nkuhungu na vitu vya ndani nikapanda Kapricon kurudi arusha.
Kwani,wakati unaingia hapo haukuona kibao chochote kimeandikwa MAKUTUPORA?Mpaka sasa upo kambi ya jeshi.Kwa hiyo uwe mtulivu na uzidishe ukakamavu.Sema ndiyo afande!Nianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
Yani uku ni una pigwa na upepo wa baridi apo apo una chomwa na jua kwa wakati mmojaNakumbuka nilivyoenda Dodoma mara ya kwanza 2019, Juwa liliniwakia wiki moja tu nikawa nimapasukapasuka ngozi ya uso na mikono,nikaacha kodi ya nyumba maeneo ya nkuhungu na vitu vya ndani nikapanda Kapricon kurudi arusha.
Bhata zangu nalia dodoma, it's a nicest place to be!Nianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
sijui imekuwaje serikali ime hamia uku .Nilipangiwa vyuo kadhaa ila UDOM sikuwa nimewahi fika. Nikaenda siku moja kutembea kabla ya kuchagua chuo kipi nisaini, ile siku nimefika Dodoma ndipo kwa mara ya kwanza nikahisi nina matatizo ya macho.
Nilidungwa jua kali nikahisi nipo kwenye zile movie za Hollywood zinazoonyesha Mexico ina uwekundu. Macho yaliuma sioni mbele, kiu kali sijawahi pata, sikuelewa nina njaa au ninaumwa. Hiyo siku nilitakuwa nilale ila usiku umefika nikajikuta kuna baridi. Nikapanda bus la saa nne kuondoka zangu.
Baadae nimerudirudi safari chache nimeona hakuna shida kivile ila afya mgogoro wakiishi uko watapata shida.
Mji uIlibidi uwe jangwa kama kivutio sio makazi ya watuRudi tuu ulipotoka mkoa hauwezi kujibadilisha hali yake ya hewa iendane na wewe...
Uko ndo mna chota maji kwenye mabwawa .afu wadogo uwa hawajisafishi vizuriKaribu Wilaya ya Chamwino,,Kata ya Dabalo,,Kijiji cha NAYU,,KITONGOJI cha Kinyami tuchimbe dhahabu,kama hutojali lakini
Kwani wewe ulikuta wanaishi kima au?Nianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
Rudi kwenu mkuu.Yani uku ni una pigwa na upepo wa baridi apo apo una chomwa na jua kwa wakati mmoja