Hivi mliooa mnawezaje kuishi na mwanamke mmoja maisha yenu yote?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,078
Wakuu,me sijui nina ugonjwa gani!siwez kuwa na mwanamke mmoja tukadumu hata miezi mitatu ntamchoka tu.
Sasa nawashangaa wanaume wenzangu mliooa,mnawezaje kupika na kupakua na mtu mmoja huyo huyo maisha yenu yote?hivi huwa hamkinai kulala na mtu mmoja mwenye ladha ileile siku zote?
Asanteni!
 
Bucha nyingi nyama ni ileile,kwaiyo unajikomesha mwenyewe na kujichosha kiafya
 
Wakuu,me sijui nina ugonjwa gani!siwez kuwa na mwanamke mmoja tukadumu hata miezi mitatu ntamchoka tu.
Sasa nawashangaa wanaume wenzangu mliooa,mnawezaje kupika na kupakua na mtu mmoja huyo huyo maisha yenu yote?hivi huwa hamkinai kulala na mtu mmoja mwenye ladha ileile siku zote?
Asanteni!

Utoto tu ukikuwa utaacha
 
Kalale ukue
 
Ngoja ufikishe miaka 40 na uwe umeshamzalisha mtu na unampenda mtoto wako,utajua tu
 
na wanawake tuwaulize wanawezaje kuwa na dushe moja milele! hawakinai!! usitake kuleta mambo ya "nature yetu" hapa
Dunia inashundwa kutawalika kwa kuwa siku kila mwanamke anataka kujifananisha na mwanaume. Kimaumbile wanaume wako tofauti na wanawake. Mwanaume amezaliwa ili kuzalisha mfano kwa wanyama kama mbuzi, ngombe, nyani n.k unakuta jinsia ya me inaweza kumove na zaidi ya jinsia ya ke zaidi ya mmoja.
 
wanaume wanaojifananisha na wanyama akili zao ziko kama hao wanyama.

kwani hiyo ngono unaifanya uongeze uzao au unafanya kwa starehe zako!! na una mpango wa kuzaa wangapi hadi utake kulala na kila mwanamke unayemtaka??

hao unaojifananisha nao its there only purpose. wazaliane kwa wingi Sie wengine tupate chakula.

wewe ni binadamu, hisia zako si kama zao. wewe una uwezo wa kupenda, wa kuona wivu, wa kujizuia.

una uwezo mkubwa kuliko wao, huo muda unaowaza ngono na watu tofauti ungeenda kufanya mengine ya maana.

and as far as sex kama kiburudisho, hata mwanamke huvutiwa na wengine, usitake kutubana hapa.

siku nyingine ujifananishe na mnyama unayefanana naye kidogo (On the DNA level of course), kama nyani, manake naona wametupita mbali kwenye sexual freedom.
 
Hehehehe. Uelewa umefail hapa. My point sio kujifananisha akili na mnyama. My point ni jinsia, jinsia zetu zinafanana na wanyama lakini hiyo haitufanyi tufanane au kutofautiana na wanyama . Huo uwezo wa kuweza kuwaza tofauti na wanyama ulianza baada ya binadamu kuishi. Ila nature iko hivo mwanaume ana produce na ndio maana mwanaume ana silika ya kutamani akiona uchi wa mwanamke yeyote hata asiyekua mke wake. Kinyume chake sio kweli
 
kwahiyo wanawake unaowatamani huko barabarani wanatembeaga uchi??

kubali tu kuwa si peke yako unayetamani wengine... hata mwanamke wako huko kuna MTU anamvutia saaana sema sio mnyama eti aende kumpanda tu!

ana uwezo wa kutambua right from wrong, ana viwango vya maadili na na uwezo wa kujizuia.
 
Point yangu nasema ni nature. Nilisema mwanaume anatamani akiona sehemu za mwili wa mwanamke(uchi) ila mwanamke hawezi kutamani vivyo hivo. Mwanamke huvutiwa na utanashati wa mwanaume pekee, means that mwanamme asipokuwa na utanashati anaweza asitamaniwe ila kwa mwaume ni tofauti, yeye anahitaji kutamani sehem za mwili wa mwanamke. Pia kuna wanaume wanaweza kutamani pale tu kunapokua na presence ya mwanamke, yaani hata asiipoona sehemu ya mwili wa mwanamke atatamani tuu kikubwa awepo mwanamke tuu
 
uliwahi kuwa mwanamke hata siku moja ukajua tunatamani Nini???
 
Kuhangaika tu huko kijana muulize baba yako why yupo na mama till now ... Ukipata majibu niletee lete mrejesho humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom