Kwa jinsi ilivyo michafu hata Samaki wenyewe wameghairi kuishi humo.
Ule Mto pale Kigogo mwisho ukipita SAA 9:30 unakuta maji mekundu, SAA 11:00 maji ya Buluu, SAA 13:32 maji meusi, SAA 15:02 maji mekundu, SAA 16:13 maji ya Njano.
Sasa hapo Samaki gani mjinga atakubali kuishi kwenye maji yanabadilika badilika kama Kinyonga?