Yaani wewe hadi mtu anaomba 'poo' ww unaye tu, hivi unafikiri unamfurahisha? Unamuumiza tu na ww unajimalizia tu nguvu kazi yako,kweli username yako inaendana na tabia yako maana ungekuwa wa kawaida ungemuonea huruma mwenzio,halafu nani kakudanganya magol mengi ndo ujanja? Km mwenzio anakuwa hajaridhika jua hapo unakuwa umejifunga mwnyw, ni kawaida sna kwa bao la kwanza kuwa dk hizo,halafu uache uongo 30 mins unasukuma tu pipe?!??? Huu ni uongo mkubwa!