10 min is a very respectable time, we ulitakaje?
habari za leo wana MMU,
mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.
tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.
napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.
kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..
nawasilisha....
Ni kwa sababu huna michepuko. Hata hivyo ni jambo la kawaida tu.
kabla hajatia timu, piga puli kuondoa takataka ili akifika uwanzie kwenye range ya bao la 3.habari za leo wana MMU,
mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu anafanya kazi, so inakuwa ngumu kukutana katikati ya wiki hivo hukutana wkend tu.
tatizo ki kwamba tukikutana bao la kwanza sichukui dakika, yaan fasta sana. ingwa hujitahidi na foreplay na kumpa orgasm kabla sijaingiza.
napumzika kama 10 min naanza round ya pili, hapo nitachukua kama 10 min kumaliza. napumzika kama 30min naenda ya tatu, hapo nakaa kama 20 min. round ya nne inakuwa poa nakaa zaid ya 30 min. ya tano mpaka anaomba kupumzika yeye mie bado.
kinachoniumiza kichwa ni kwa nin nashindwa ku-control round ya kwanza na ya pili nisichukue muda mrefu kumaliza?
wadau naomba ushauri naweza kufanya nin kuondoa tatizo hili, au ni hali ya kawaida kama nikipata tamu mara kwa mara litaisha..
nawasilisha....
Kula LIKE! Well said mumy, aoe ndipo aje atuulize hapa.
Wii hujambi
Bwana mdogo pole sana., tatizo lako Ni psychological problem tu wala huumwi.. Mchezee Sana mwanamke I repeat mchezee mpaka aseme ingiza.. For the first round yeye awe juu ww chini hiyo itapunguza hisia compared to wewe ukiwa juu.. Kwa first round yeye ndo ashuhurike juu yako wewe ukiwa unampa mdogomdogo yani usiwe na papala.. Yani hisia zako zihamishe kimtindo.. Ukitaka tu kumwaga unahamisha hisia.,na kitu kingine dk 10 Ni nying sana kama ulimwandaa vizuri.,
kabla hajatia timu, piga puli kuondoa takataka ili akifika uwanzie kwenye range ya bao la 3.
Porn movies zinaharibu vijana sana. Jamani msiwafuate wale wa kwenye hardcore porn wanaigiza tu, huku nyumbani mnaeza kutoana utumbo bure, we unamfinyanga mtoto wa wenzio nusu saa nzima? Mzima kweli wewe?
Kabla ya kuanza kunywa maji ya betri lita mbili changanya na pilipili na unga wa ubuyu...kisha lete feedback hapa...lakini pia jaribu na kukontroo mihemko...sawaee
yBwana mdogo pole sana., tatizo lako Ni psychological problem tu wala huumwi.. Mchezee Sana mwanamke I repeat mchezee mpaka aseme ingiza.. For the first round yeye awe juu ww chini hiyo itapunguza hisia compared to wewe ukiwa juu.. Kwa first round yeye ndo ashuhurike juu yako wewe ukiwa unampa mdogomdogo yani usiwe na papala.. Yani hisia zako zihamishe kimtindo.. Ukitaka tu kumwaga unahamisha hisia.,na kitu kingine dk 10 Ni nying sana kama ulimwandaa vizuri.,
Nakubaliana na wewe mkuu,mwanamke akiwa juu huwa anawaza kumaliza yeye na wewe ukiwa unashuhudia tu.
Ahhahha namaanisha my wii hujambo