Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,217
- 6,570
Habarini wana bodi,
Kwa wale wazoefu wa ndoa je hii hali mshakutana nayo, Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia wanaume wakilalamika kuhusu kutokuwa na maelewano mazuri na wake zao pindi wawapo wajawazito hasahasa mimba ya kwanza je, ni kweli kuwa mwanamke anaposhika mimba ya kwanza anakuwa mkali lakini pia ana tabia ya kumkasirikia mmewe na hata watu aishio nao??
Sent using Jamii Forums mobile app