Ndiyo nitofauti na wa ugali maana wenyewe ni mahindi machanga yanakaushwa alafu wanasaga unga laini kama wa ngano ndo maana unaweza kupikia mkate, Mimi huwa napenda kutumia REDGOLD corn flour naona upo vizuri, pia huo unga ndo wanatumia kwenye mchuzi kuwa mzito, barafu za matunda na juice kuwa nzito kama unatengeneza za kuuza.