Hivi michepuko wote mko hivi?

Two options...
1. Kaa nae shauriana nae atoe hiyo mimba.
2. Kaa chini na mkeo mwambie ukweli na mkubaliane pamoja yule bint azae

Madhara yake ni kwamba huyo binti ukimpiga chini anaeza siku ukamkuta sebleni na dera lake na shangazi kaja umpe chumba alelee mimba yako ndani kwa mkeo
 
Mkuu hata mwezi hujamaliza tayari ushatia mimba nje?

Hata mkeo dalili za mimba hana.

Pole.
 
Ukome.

Natamani amfahamishe mke wako ili akuache apate mwanaume mwingine.
 
Ushauri wangu:
Muoe na huyo mchepuko awe mkeo rasmi, yaani uwe na wake wawili
 
Muruhusu aitoe kwa gharama zake,unatishiwa nyau na wewe unatishika?,wanaume siku hizi sijui tukoje
 
fikiria hajazaa hali ni hiyo akija akizaa, hiyo ndoa utaiona chungu atakuendesha balaa na atakuwa anakutishia kumleta mtoto kwa mkeo, kama vipi mwambie katafute baba wa mtoto, ikatae...umuonyeshe uwanaume halisi. ila unavyoongea unaonekana hiyo mimba unaitaka sana ndo mana anakutishia kuitoa.
 
Mwambie akutumie m-pesa iyo mimba halafu ukaitoe kwa Tanzania shillings
 
Kabisaaaaa
 
Umempa mimba kilaza,na kumbuka watoto ufata akili kwa mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…