utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
Kama hiyo haitoshi anajilipa madeni hewa, kwa mujibu wake alikikopesha chama wakati wa kampeni.
mbowe anakiuzia chama magari na majenerator kwa manufaa yake yeye.
kama haitoshi aliwahi kukiuzia chama vyombo vya muziki chakavu.
Juzi zitto kabwe katusaidia kutueleza bayana jinsi mbowe alivyopokea hela za mafisadi ili afanyie kampeni.
Leo sote tumeona mbowe amekodisha chopa tatu kufanyia mikutano ya siasa.
kama haitoshi mbowe anatumia magari mawili ya serikali moja la kiongozi wa upinzani bungeni na lingine la mbunge.
Lakini pia mbowe kawa fisadi wa madaraka kwa kuchakachua katiba ili awe mwenyekiti wa milele.
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
najua unatafakar utaishije baada ya ule mrija wa Mpesa na tigo pesa kisitishwa...utakufa njaa mwaka huu....!!! tuhoji umuhimu Wa operashen au matumiz? una akil punje we dogoJuzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
Njoo tujiunge kwenye CHADEMA ni msingi acha kupiga domo.Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.