Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.