Hivi Mentor yuko wapi?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini bandugu marafiki zangu wa ukweli

Naomba nilete malalamiko yangu hapa jamvini kwani mwenzenu
nimepotelewa na mtu wa muhimu sana kwangu mume wangu.

Aliniaga kuwa anakwenda kwenye workshop ya kiofisi Bagamoyo
Na isitoshe alisema kuwa leo ijumaa angekuwa amesharudi, ili tukale
bata mzinga pale kwa akina Mtambuzi pale posta sijui panaitwaje

Na kesho yake angeenda kwenye Training ya wale waliochaguliwa na
Raisi waende kwenye bunge la Bajeti ohoops!! Katiba. haaaa!!
unaona sasa mpaka nashikwa na kigugumizi cha mdomo hapa

Mpaka jioni hii naongea simu yake haipatikani, wala nikipiga ofisn
kwao hawapokei, nikimcheki kwenye taswira picha simuoni,
na ile naniii yake nanii wansema whatsapp au nini vile haonekani
sijamtia machoni kabisa jamani waungwana nisaidieni au Asprin
ameficha mahali akimpa yule mjukuu wake awe nae niini?

Najisikia vibaya sana kwani nimepiga simu kwa wakwe zangu
wamesema nao hawampati kwenye simu yake sijui yuko wapi tena huyu?

Ndugu zangu wa ukweli Passion Lady, Lady doctor, charminglady Vin Diesel (ulieyenyamaza kimya), Asnam, amu, KakaKiiza,
mkuu wa mabazazi Nicas Mtei, sista yangu sweetlady, nitonye,
shem wa ukweee Arushaone, Filipo, Kaizer, Mkirua, stevoh, Kipaji Halisi nisaidieni kumpata huyu mtu jamani wamemchimbia wapi

Wenu

Ladyf
 
Last edited by a moderator:
Ulitaka kula nae bata? Mwenzako anakula nae mbuzi huko
 
heheheheheheheiya bestito umenichekeshaje
kama ulijua kuwa anakula mbuzi na wenginebest
nimeshamvulia nguo mie kwa :shock::shock::shock::shock:
Ulitaka kula nae bata? Mwenzako anakula nae mbuzi huko
 
yaani umefanya jambo la mbolea kabisa
na isitoshe mpige ban ya nusu mwaka
kwani kwa ubazazi wake alionao sikutegema
Nimempiga ban ya miezi miwili baada ya kuvujisha siri za baraza la mabazazi.
 
bado hajarudi kabisa na mm niko kwa job
sijui amejificha wapi bestito si unaona
tunavyotendwa siye jamani halafu mmnasema
wanawake ni wabaya wakati nyie ndo mshitinishi
Hadi leo hujamtia machoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…