Mwana jf nimekaa na
kutafakali but sipati jibu labda sina uwelewa wakutosha wa kuchanganua
hili jambo naitaji kuelimishwa kwa hili
1.hivi pesa za mchango wa madawati unaenda wapi au unatumika kwa maswala
gani mengine kwa sababu toka mi na soma paka leo hii hayo madawati bado
ya nunuliwa tu wapi ya lipo mbna bdo yapo yale yale ya zamani?
2.pesa ya twicheni je hili lipo kwenye mtahala wa elimu Tanzania kama
laa wapi wamepata hiyo ruksa na nini umuhmu wa twicheni kama yeye ndie
mwalimu wa pindi nini sababu ya hyo twicheni kwnini asifundishe kwenye
kipindi darasani mi nachojua twicheni mtu unasoma kukava topic
3.hivi wa maofisa elimu awaoni watoto wanachoteshwa maji adi saa3
asubuhi au ndio mwl atakava kwenye mda wa twicheni?
4.jamani adi darasa la kwanza anasoma twisheni ya kweli jamni?